Leo Jumanne 14/4/2015 kutakuwa na michezo miwili ya mzunguko wakwanza wa michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya hatua ya Robo Fainali, Mechi hizi zitaanza mda mmoja kwa Majira ya saa za Afrika Mashiriki ni saa 3 na dakika 45.
Real Madrid pamoja na Athletico Madrid wanachezea kiwanja cha Estadio Vicente Calderón, kilichoo Madrid, huku mchezo huo kuchezeshwa na Referee: M. Mažićhatu
0 comments :
Post a Comment