Mechi za marudiano za ligi ya mabingwa ulaya (UEFA) kuchezwa leo Jumanne, ambapo Barcelona atamkaribisha PSG nyumbani kwake Nou Camp nchini Hispania, huku Barcelona akiwa na nafasi kubwa ya kupita baada ya kutoka na ushindi wa 3 - 1 katika mechi yakwanza iliochezwa nchini Ufaransa, ni mechi ambayo uaingependa kukosa leo ifikapo saa tatu na dakika 45 usiku (9:45 pm).
Mechi nyingine ni kati ya Bayern Munchen dhidi ya Porto, mechi hii itaanza saa tatu na dakika 45 usiku (9:45 pm) mechi itakayochezwa nchini Ujerumani katika kiwanja cha Allianz-Arena, huku wageni (Porto) wakiwa na nanfasi nzuri ya kuvuka hatua hii baada ya ushindi wao wa mechi yakwanza ilioisha 3-1. Bayern Munich wanawakati mgumu na hii itakuwa moja ya mechi nzuri sana kuangilia usiku wa Leo.
Sponsored By:
Sasa kama wewe unataka kutazama mechi hizi kali zote kwa wakati mmoja huku na shangwe za mashabiki tofauti basi sehemu tulivu ni City sports and Lounge, ipo katikati ya jiji (city center) downtown Posta pembeni ya Azania Bank, inaangaliana na Askari Monument. (Ramani hio hapo fika hapo kwenye rangi ya Njano)
0 comments :
Post a Comment