MCHARO ni nini (Mcharo ni character wa tangazo maarufu nchini Tanzania. Mcharo alikuwa akifanikiwa sana. Nikisema Mcharo maana ni "Mafanikio.")
Mrembo Jokate Mwegelo ambae alijizolea umaarufu baada ya
kutwa mataji la Miss Kurasini 2006, kisha
Miss Temeke 2006, na Miss Tanzania number 2 2006 pia Jokate anajihusisha na maswala ya utangazaji na
fashion akiwa na brand yake iitwayo #Kidoti.
Jokate aliachia ngoma yake ya Leo Leo aliomshirikisha Msanii Ice
Prince, nyimbo inafanya vizuri sana katika redio tofauti.
Sasa kwenye mitandao ya kijamii kuna mvutano wa
mashabiki kutoka pande mbili tofauti
naongelea #TeamDiamondPlatnumz na #TeamKiba.
baada ya nyimbo hii kutoka na kuonekana Jokate yupo vizuri
sasa mashabiki wanataka collabo yake na Alikiba au
DiamondPlatnumz.....
0 comments :
Post a Comment