Star wa klabu ya Barcelona Gerard Pique ameonekana mwenye furaha katika wakati wake wa mapumziko katika kipindi hiki cha majira ya Joto baada ya kuchukuliwa video akiimba pamoja na mke wake Shakira
Beki huyo wa Kati, aliisaidia Barcelona kubeba makombe ya nyumbani, kombe la bara (La Liga), Copa del Rey na Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu uliopita,
alikuwa akiigiza kama Frank Sinatra "I've got you under my skin" huku akiwa anacheza kwa style.
alikuwa akiigiza kama Frank Sinatra "I've got you under my skin" huku akiwa anacheza kwa style.
Star huyo wa Barcelona alisimama upande wa maji huku Shakira akirekodi na kucheka nyuma ya camera.
Pique aliweka video hio katika mtandao wa Twitter na kuandika "In a Sinatra mood..."
0 comments :
Post a Comment