Shujaa wa Penalti iliyowapeleka Paraguay kwenye Nusu-Fainali ya Copa America, Derlis Gonzalez (21), alilazimika kukatisha sherehe zake kufatia taarifa kwamba penalti aliyopiga imechukua maisha ya mjomba wake aliyekufa kwa shinikizo la damu kwa furaha ya goli hilo alilofunga usiku wa kuamkia jana. Mjomba wake huyo alikuwa akiangalia mechi hiyo kwenye Televisheni.
Gonzalez kisha aliandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter: "Kwanini leo mjomba? kwanini? umeniacha kwa shinikizo la damu kwasababu nimekupa furaha kubwa mno. siamini."
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment