Tuesday, 30 June 2015

Iggy Azalea amchana Britney Spears baada ya Collabo yao kufeli


Rapa Iggy Azalea amemchana msanii mwenzake Britney Spears baada ya collabo yao kufeli vibaya na hata video kutofanya vizuri.
Akiongea kwenye inteview kuhusu colabo yao Iggy amesema “Wimbo wao wa “Pretty Girls” uliotangazwa vyema na kufanyiwa video bora umeshindwa kufanya vizuri kutokana na anachosema Iggy kuwa ni uvivu wa Britney Spears“.
Iggy amesema “Ni ngumu kupandisha wimbo kwenye chati bila show za promo na show za tv, mimi nimeshirikishwa tu ila Britney ni mvivu kazi yake kukakaa tu
Britney naye alijibu mashambulizi kwa kusema
bb


No comments:

Post a Comment