Mtangazaji wa kipindi cha Mkasi na pia jaji wa mashindano ya kusaka vipaji Tanzania [BSS], Salama Jabir ametoa mtazamo wake kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter kuhusu video mpya ya Ali Kiba ‘Chekecha Cheketua’.
Soma Tweet zake hapo chini.
No comments:
Post a Comment