.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Khole ataka kufanana na Kim Kardashian

Kutoka Kushoto Khlole, Kim na Kourtney 

Mwanamitindo Khole Kardashian amesisitiza kutumia mazoezi na kunywa maji kwa wingi ili kupunguza mwili wake, badala yakufanya upasuaji.

Khole yupo katika mazoezi ili kupunguza mwili wake ufanane na miili ya ndugu zake nyota wa familia ya Kim na Kourtney.



Alisema anatembea kwa miguu kila siku, nakunywa maji lita sita kwa siku ingawa anapata wakati mgumu kutimiza sharti la kunywa kiasi hicho cha maji alichoshauriwa na msimamizi wake wa mazoezi. Aliiambia tovuti ya Lifestyle kuwa hataki kufanyiwa upasuaji ili kupunguza mwili wake, badala yake atafanya mazoezi kuhakikisha anapunguza uzito.

"Nilipata tatizo la kupumua kwa kunywa maji mengi, sasa nafahamu jinsi ya kujipanga, staki kufanyiwa upasuaji kupambana uzito,"
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad