.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Ijue siku ambayo @ZittoKabwe ataweka wazi swala la Mabilioni ya Fedha za Uswisi


Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema ataweka wazi suala la mabilioni ya fedha za Uswisi, baada ya serikali kushindwa kutoa hadharani taarifa ya uchunguzi wa watu wenye fedha nje ya nchi.

Ametaja Jumamosi kuwa ni siku mwafaka ya kuweka kila kitu hadharani juu ya mabilioni hayo na kwamba atafanya hivyo katika mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es salaam.

Zitto ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kumaliza ziara ya chama chake katika awamu ya pili ambapo wameshatembelea jumla ya mikoa 22 kwa ajili ya kukitambulisha cha hicho 

"..Julai 4 mwaka huu tunatambulisha chama chetu kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam, katika mkutano huo nitaweka wazi taarifa ya uchunguzi wa watu wenye fedha nje," alisema Zitto na 
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad