Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi 'Snura', amesema kwamba kashfa zanazoelekezwa kwake zinamshusha kwa jamii inayomzunguka.
Alisema kashfa nyingi zinazoelekezwa kwake huwa za kusingiziwa akieleza moja ya kashfa zilizomuumiza na kumchafua kwa jamii kwamba ni alipoelezwa kwamba anatoka na michepuko na huwa aridhiki kwa anaokuwa nao katika uhusiano.
"Unajua watu wana muhukumu mtu bila kujua kiundani, sasa wanasema mimi nachepuka haya mambo si ya kweli mimi sina mchepuko na sijawahi kuchepuka, wanikosea sana na pia wananichafua kwa jamii inayonifatilia kwa kazi na maisha yangu ya kweli." alieleza kwa masikitiko Snura.
0 comments :
Post a Comment