.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Tiwa Savage akaribia kupata mtoto



Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage ameeleza kuwa anakaribia kupata mtoto kwa kuwa dalili zake zimeanza kujionesha

msanii huyo kwa sasa yupo nchini Marekani akiwa na mume wake ambapo wanatarajia kurudi nchini Nigeria baada ya kujifungua salama.

Savage amesema kuwa anasumbuliwa na maumivu ya tumbo mara kwa mara, ikiwa ni dalili moja wapo za kutaka kujifungua.

"Atakuwa ni mtoto wangu wa kwanza, lakini kwa sasa nasumbuliwa na tumbo mara kwa maea nahisi ninakaribia kujifungua.

"Natamani nijifungue hata leo maana kukaa na ujauzito si kazi ndogo, lakini namshukuru mume wangu kwa msaada wake kuwa kuna wakati nashindwa hata kuvaa viatu lakini yeye ananisaidia na mambo mengine mengi." alisema Savage
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad