WAKATI video ya 'Nisambazie Raha' ya Bendi ya Yamoto ikiendelea kufanya vizuri katika televisheni mbalimbali nchini, bendi hiyo inatarajia kuachia video ya Wimbo wa 'Cheza Kimadoido', mwezi ujao.
Alisema wana amini video zote mbili zitafanya vizuri kutokana na ubora wake kila mmoja atapenda kusikiliza na hata kuangalia video zake.
Alisema tayari nyimbo hizo zipo mtaani kwa vituo mbalimbali vya redio kuzipiga.
0 comments :
Post a Comment