Wednesday, 16 September 2015

Madee amzawadia Dogo Janja gari




Msanii Madee kutoka Tip Top Connection amempa zawadi ya gari msanii Dogo Janja katika siku yake ya kuzaliwa jana (tarehe 15).


Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa instagram dogo janja alito shukrani kwa uongozi kwa madee, tip top connection na muwakilishi dickson kwa kuandika 


"Shukran Sana Mshua @madeeali Uko Mbalii Lakini Umenisuprise.. Sina Cha Kukulipq Zaidi Ya Kukuheshimu Daima.. Hakika saiv Barabarani Tutapigiana Honiii Tu Shukran Sanaaa Sanaa Sanaa MUNGU AKUWEKE."


"Muwakilishi Wa Mshua Alikuwa@dicksound1 Tajiri Yangu,Moja Ya Watu Wa Karibu Sana Wa Mshua Na Pamoja Na Mimi.. Shukraaan Sana Kwa Uongozi Wa Tip Top Connection @madeeali @babutaleTajiriii Dick Umetishaaaa Sanaaa." aliongezea Dogo janja


janja1


Msanii Madee ametumia siku hii kumkumbusha Dogo janja ambaye yupo chini ya uongozi wa Tip Top Connection kwamba kwasasa yupo nyuma ya muda.

"Happy bday janja....ila kumbuka upo nyuma ya mda @dogojanjatz ." aliandika Madee.


No comments:

Post a Comment