Diamond Platnumz na Zari Hassan wameweka wazi picha ya mtoto wao Latiffah aka (Princess Tiffah)
Sura ya Tiffah imeonyeshwa siku 40 baada ya kuzaliwa kwake na kufanyiwa dua na sherehe kubwa nyumbani kwa Diamond Platnumz ‘StateHouse’.
Mastaa kibao wamehudhuria sherehe hio.
No comments:
Post a Comment