Monday, 5 October 2015

Video Trailer : James Bond amerudi na filamu mpya 'SPECTRE'




James Bond '007' amerudi tena na kuachia Trailer ya movie yake mpya iitwayo 'Spectre'.  Kampuni ya Sony Pictures Entertainment ambayo imeachia Trailer hiyo wiki iliopita katika mitandao  imetangaza kuwa filamu hio itatolewa  mwaka huu.



Jina la movie ni Spectre na imepangwa kutolewa rasmi Novemba 6, 2015.




No comments:

Post a Comment