
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Haule wakisogea eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni

Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akisalimiana na kikundi cha kuimba Accapella eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni

Ndege la Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete ikiwasili uwanjani hapo



Rais Kikwete akipokea shada la maua

Rais Kikwete akitambulishwa kwa viongozi na maafisa mbalimbali wa Kenya

Rais Kikwete akisalimiana na maafisa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya

Rais Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya

Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto

Rais Kikwete akiongea na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto

Rais Kikwete na mwenyeji wake Naibu Rais wa Kenya Mhe Wiliam Ruto wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma vilivyokwenda kumpokea uwanja wa ndege





Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto

Rais Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni
Credits: http://charaz.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment