.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Aunty Ezekiel amtafuta mdogo wake Cookie



Staa wa filamu za kibongo, Aunty Ezekiel, amesema kwa sasa yupo kwenye mchakato wa kumtafuta mdogo wake na Cookie kwa kuwa hataki kukaa muda bila kupata mtoto.

Akizungumza jijini Dar es salaam jana, Aunty alisema ameamua kufanya hivyo kwa kuwa anaona kupata mtoto mapema na kumaliza ndiyo vizuri ili aweze kuendelea na kazi zake kuliko kukaa muda mrefu alafu ndio ubebe ujauzito tena.



Sasa hivi mimi na baba Cookie tumeshaamua kufanya maamuzi mazuri kabisa ya kuongeza mtoto mwingine maana tumeona kwanza ndiyo furaha yetu," alisema.

Alisema kupata mtoto mapema ndio raha ya maisha kwani mtoto wa ujana ana raha yake katika maisha ya sasa.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad