.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Chelsea wafanya maamuzi ya Kocha wakudumu na Timu


 
Chelsea imemchagua Manuel Pellegrini kuwa kocha wakudumu anaefata, kwa mujibu wa mtandao wa Marca 


Taarifa hio inaeleza kwamba kutokana, Pep Guardiola kutangaza kuondoka Bayern Munich huku klabu ya Manchester City ikiwa na mipango ya kumchukua, Guardiola kubeba mikoba ya Pellegrini katika kipindi cha majira ya joto.

Mabingwa hao wa ligi kuu Uingereza watampa ajira raia huyo wa Chile, labda itokee Guss Hiddink aonyeshe mabadiliko katika timu. Hiddink kwasasa ndo kocha wa Chelsea kwa muda mpaka mwisho wa msimu.
 
Chelsea wanaeleza kuwa, Pellegrini ndo mwenye nafasi kubwa ya kuchukua mikoba ya Jose Mourinho aliye fukuzwa na mmiliki wa timu ya Chelsea, Roman Abramovich ikiwa ni mara ya pili kocha huyo anafukuzwa



Share on Google Plus

About Blog Ya Vijana

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad