.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Hawa ndo wawili wanaopendekezwa kumrithi Jose Mourinho





Guss Hiddink anaongoza kwenye list ya watakao mrithi kocha wa Chelsea, Jose Mourinho mpaka mwisho wa msimu, imeripoti mtandao wa Daily Telegraph



Roman Abramovich amemtaja kocha Diego Simeone kuwa ndo mrithi wa muda mrefu ambae atachukua mikoba katika kipindi cha joto.

Hiddink ndo kocha peke aliyependekezwa kuchukua mikoba ya Mourinho  kama chelsea watamfukuza kabla ya msimu kuisha, huku Carlo Ancelotti akisadikiwa kutua Bayern Munich kama Pep Guardiola akiondoka Ujerumani.

Juande Ramos, Unai Emery na Ronald Koeman pia ni miongoni wa makocha waliopendekezwa na Abramovich na Mkurugenzi wa Ufundi Michael Emenalo, ila Hiddink ndo mwenye nafasi kubwa zaidi ya wote.

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad