.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Mr Blue: Muziki ulinilipa kwa haraka kuliko Movie




Msanii anayefanya vizuri na wimbo wake wa 'Baki na Mimi', Mr Blue, amesema aliachana na uigizaji wa filamu baada ya kuona tasnia hiyo haina maslahi ya kutosha.

Mr Blue aliyeonekana kwenye filamu zza 'Pretty Teacher' na 'House Boy', amedai kuwa baada ya kuzitathimini kwa kina tasnia za muziki na filamu, aligundua muziki unalipa zaidi.

"Muziki uliweza kunilipa kwa haraka na hadi sasa bado ninaona matunda ya muziki ninaoufanya na kuonekana kuwa chaguo sahihi kwangu," alisema Mr Blue
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad