.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Madee amshukia Afande Sele



Rapa huyo mkongwe aliyekuwa kimya kutokana na shughuli za kampeni, ameiambia Bongo5 kuwa anaamini wasanii wanaosafiri kwaajili ya kushoot video nje, wana bishara zao za siri

.“Tanzania tuna kila kitu kuliko hata huko wanakoenda. Mimi hii naitafsiri ni usaliti wa nchi,  sisi tunakosa nini hapa nyumbani? Tuna milima, mbuga, maporomoko mazuri, yaani tuna kila kitu. Unajua wasanii wengi walikuwa wanatumia mwanya wa kwenda kushoot video nje ili kufanya biashara zao za siri. Wengi wameutumia sana huu mwanya, sasa Magufuli alivyoingia atawanyoosha tu,” amesisitiza Afande.

Msanii Madee alijibu kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram na kusema "Kadri unavozidi kuzeeka na akili nazo zinarudi utotoni." 


SHUKA CHINI TUACHIE COMMENT YAKO

A photo posted by Madee Seneda (@madeeali) on
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad