.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

NEW SONG: KANYE WEST - FACTS



Kwa mara nyingine Kanye West aachia nyimbo mpya siku ya mwaka mpya, ni baada ya kuachia nyimbo ya 'Only One' mwaka mmoja umepita, Nyimbo hio ilikuwa dedication kwa mtoto wake North. 

Sasa Kanye West amekuja na nyimbo mpya iitwayo 'Facts' ambayo pia ameongelea nia yake ya kugombania uraisi wa Marekani ifikapo 2020  "2020, I’ma run the whole election.” amesikika Kanye kwenye moja ya mstari.

SHUKA CHINI KUSIKILIZA





WITH LYRICS PLAY BELOW
 
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad