.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Watch: Wiz Khalifa - DayToday: Life is Good



"Life is Good" ( Maiha ni Mema) ni muendelezo wa maisha ya kila siku ya Wiz Khalifa na kundi lake la Taylor Gang.



Katika epiosde hii ya Life is Good utaeza kuona matutikio mbali mbali ikiwa pamoja na kushuhudia jinsi marafiki wa wiz khalifa waotengeneza kundi la Taylor Gang wakiwa pamoja na Sebastian (mtoto wa Wiz Kalifa na Amber Rose), pia utashuhudia wiz khalifa akiwa studio , akiwa kwenye kumbi za starehe, na pia kama kawaida yake utamshuhudia akiwa anatumia bangi kwa wingi katika episode hii, na mengine mengi.......

Shuka chini kuangalia (Wiz Khalifa - DayToday: Life is Good




Fatilia muendelezo wa epiode zinazofata kwa kutembelea Blog hii kila wakati. 

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad