Official Video ya nyimbo mpya ya G Nako - AROSTO aliomshirikisha Chin Bees na Nikki Wa II imetoka na video hio imefanya na Director HANSCANA kutoka Wanene Films.
Baada ya video hii kutoka, Director Nisher kutoka Nisher Entertainment alitumia ukurasa wake wa facebook kutoa malalmiko yake juu ya kufanya video ya nyimbo ya AROSTO kabla na kutumia gharama zake ( Tshs Millioni 3 na Laki 9) kisha video yake kuonekana mbaya (kwa mujibu wa nisher) na kushanga kuona video nyingine ya AROSTO iliofanya na director Hanscana kutoka WANENE FILMS bila ya Nisher kurudishiwa gharama zake za video iliotengeneza na kampuni yake.
Nisher alitoa muda wa kuweka vitu sawa kwa kurudishwa gharama zake au afikie maamuzi ya kuachia video mtandaoni.
Video ya Nisher ipo tayari katika account yake ya Youtube inaonesha kwamba hawajafikia makubaliano mazuri. kuangalia video hii CLICK HAPA
0 comments :
Post a Comment