Drake amerudi tena nafasi yakwanza baada ya kushushwa na nyimbo ya Justin Timberlake 'CAN'T STOP THE FEELING!' wiki iliopita, "ONE DANCE" imepanda tena katika nafasi yakwanza katika nyimbo 100 kali za Billboard kwa wiki ya pili mfululizo.
BILLBOARD HOT 100 TOP 10
1. Drake feat. Wizkid & Kyla – “One Dance”
2. Desiigner – “Panda”
3. Justin Timberlake – “CAN’T STOP THE FEELING!”
4. Lukas Graham – “7 Years”
5. Fifth Harmony feat. Ty Dolla $ign – “Work from Home”
6. The Chainsmokers feat. Days – “Don’t Let Me Down”
7. Mike Posner – “I Took a Pill in Ibiza”
8. Rihanna feat. Drake – “Work”
9. Zayn – “Pillowtalk”
10. Rihanna – “Needed Me”
0 comments :
Post a Comment