Kwasasa kipindi cha XXL Freshman kinachohusisha wasanii wapya wakionesha uwezo wao wakuchana (freestyle).
Katika kipindi cha XXL Freshman huwa msanii mpya mmoja hufanya freestyle yake ila kwasasa XXL wameongeza idadi ya kwa kuunganisha wasanii wapya pamoja na Dj wa kufanya mixing ili kurecord video ya michano.
Kwa mara yakwanza katika muonekano mpya wa kipindi hicho ni Desiigner, Anderson .Paak na Lil Dicky wakiwa na Dj Drama.
0 comments :
Post a Comment