Album ya 4 ndani ya Studio aliofanya msanii Drake iitwayo VIEWS ipo kwenye kasi ya kumpatia mafanikio makubwa ya kibiashara.
Albamu ya VIEWS pamoja na 'One Dance' ikiwa ndo nyimbo inayowika zaidi kwenye Albamu, pamoja wamekata kutoka katika chati za BillBoard 200 na Hot 100 kwa wiki 7.
Anafungana na Micheal Jackson recordi aliyoweka tangu 1983, Recordi hio inamfanya Drake kuwa msanii wakiume wapili kuweka recordi hio..
Whitney Houston na Beatles wamefungana katika recordi hio, Kila mmoja ana Albums na Single's katika chati kwa wakati huo huo kwa muda wa wiki 12 mfululizo
Lakini ambaye anaonekana ashikiki kwasasa ni Drake (au bila shaka, Adele).
Aina ya kufikiri ya Drake inaonekana kubwa kama ya Micheal Jackson alipoachia Thriller.
0 comments :
Post a Comment