.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Chris Brown aweka wazi lini Documentary ya maisha yake itatoka

Image result for Chris Brown - Welcome To My Life

Chris Brown kuleta maisha yake katika majumba ya cinema. Mkali huyo wa miondoko ya R&B anatarajia kuachia documentary ya maisha yake ambayo inatarajiwa kutoka msimu huu joto.

Image result for Chris Brown - Welcome To My Life

Mwaka jana, Brown aliachia trela la documentary hiyo iliopewa jina la Welcome To My Life (Karibu Katika Maisha Yangu).

 Kufatia alicho andika katika mtandao wa Instagram  kuwa filamu hiyo itatoka mwezi June.

(Angalia Trela chini)


Welcome to My Life inajumuisha ufafanuzi kutoka kwa marafiki na washirika kama Jamie Foxx, Usher Raymond, Dj Khaled, Jennifer Lopez, na Rita Ora.

Related image

Habari hii inakuja wakati Brown yupo katika vita inayoendelea ya kisheria na mpenzi wake wazamani Karuruche Tran, ambaye amefungua kesi ya vizuizi dhidi yake baada ya kudai kuwa Chris alimpiga ngumi na kumfanyia fujo chini ya ngazi ya ndege. 

Image result for chris brown karrueche tran

Siku ya Jumatano (Apr 19), Mwanasheria wa Chris Brown alisema kuwa kesi ya Karruche walikuwa 'Wamepotea na Wameshindwa'

Related image
Kabla documentary hii haijatoka, Chris Brown bado anaendelea na "Party Tour" akiwa na 50 CentFablous, Kap G, na O.T. Genasis.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad