.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Kendrick Lamar ajifungia studio miezi kufanikisha albamu ya DAMN

Kendrick Lamar's "DAMN." (Review)

Kendrick Lamar ni Rapper kutoka Marekani ambae tarehe 14/04/2017 aliachia album yake ya 4 inayokwenda kwa jina la DAMN yenye nyimbo 14. DAMN iliachiwa na Top Dawg Entertainment, Aftermath Entertainment na Interscope Records.


Image result for kendrick lamar damn


"#Tulifunga studio kwa miezi. Hatukutoka. Tulikuwa tunalala Studio."

Image result for kendrick lamar sounwave
Sounwave (Producer)

Sounwave, ambae ameshiriki kutengeneza nyimbo 8 kati ya 14 zilizopo kwenye Album ya DNA, pia ni mshirki wa muda katika kutengeneza kazi za Kendrick Lamar. 


Image result for kendrick lamar humble

Kutokana na ushirki na ukaribu wake na Kendrick basi ana mengi yakusema kuhusu mchakato wa ubunifu uliotumiwa kwenye kutengeneza DNA 

"Mara tu alipoweka mawazo yake chini na sisi tunajua njia ya kwenda tulifunga studio kwa miezi," alisema. "Hatukuondoka kabisa tulilala studio."

Image result for kendrick lamar humble

Mbinu hii ilikuwa haimbani tu Kendrick na Sounwave bali. "Kila producer ambae alikuwa kwenye project alitakiwa alale studio. Tulikuwa tusitoke mpaka tutakapo sikia mziki mzuri," aliongezea. "Kama ulikuwa na mchumba basi alikuwa anakuja kukusalimia studio. Ndo mazingira yalivyokuwa."

Kwaio Mike WiLL Made-It, Dj Dahi, Alchemist, 9th Wonder, na Steve Lacy, walilala katika studio ya Kendrick?



USIACHE KUTOA MAONI/MAWAZO YAKO JUU YA MBINU HII ...
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad