.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Jay Z kushtakiwa 'Hawezi tumia nembo ya ROC NATION'

Jay Z

Jay Z kushtakiwa kwa nembo ya Roc Nation kuonekana kwenye rundo la bidhaa za MLB bila ridhaa.


Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Jay Z anashtakiwa katika kesi ya kuweka nembo ya kampuni yake (Roc Nation) katika rundo la nguo za Ligi Kuu ya Baseball

Jay Z

KAMA ULIKUWA HUJUI BASI NAKUJUZA

TMZ ambao wamepata nyaraka inaonesha Jay Z hamiliki tena nembo ya Roc Nation. kampuni ya Iconix Brand Group zimeripotiwa kununua nembo hiyo kutoka kwa Jay Z kwa dola milioni 204 za kimarekani, na sasa ina udhibiti kamili wa nembo hiyo ambapo ni pamoja alama inawekwa.





Iconix wanaema kamwe hawakupitisha nembo ya Roc Nation kuwekwa kwenye bidhaa za MLB (Tazama picha juu ), na matokeo yake Iconix hawamshtaki Jay Z tu, pia MLB, Roc Nation, New Era, Lids na San Francisco Giants.



Kampuni linaishtaki makampuni yote kwa angalau dola milioni 10 za kimarekani pamoja na uharibifu mwingine.

Jay Z bado ajatoa maoni juu ya suala hili, lakini tutawajuza .
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad