.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BONGO MOVIE WAPATA MKOMBOZI, DIDA AHAIDI KUWASAIDI WAFIKE MBALI, CHEKI SASA WANAENDA WAPI..

Msanii peke aliekua anaweza kufika miamba ya mbali yani huko Nigeria mpaka Ghana katika Uigizaji ni Marehemu Steven Kanumba, ikafika kipindi akawa anawatamburisha na wasanii wa Bongo Movie kwa baadhi ya wasanii wa kinigeria na ghana baada kutoa muvi nyingi na zilizotamba, ila hali ikabadilika baada ya Marehemu Kanumba Kufariki kwani kuwa hamna ushirikiano tena kati ya wanigeria na waghana pamoja na watanzania, Huku kuna kipindi msanii Van Vicker alitua Dar es salaam kwa ajili ya kushoot muvi, ila sijui kama io muvi imetoka na kama imetoka basi haijawika , mpaka kufikia kipindi mashabiki wa Bongo muvi kusema kwamba Marehemu Steven Kanumba ameondoka na mwanga wa Bongo Muvi kwani sasa ni giza tu kashfa ndo zimetawala......
Sasa mkombozi wa Bongo Muvi  kupitia Kampuni yake ya Dida Entertainment  amehaidi kuwasaidia wasanii kurudi katika mstari wao kama kawaida , ameanza kwa kuwapeleka Uingereza kwa ajili ya kujitangaza zaidi... soma alichondika 

Share on Google Plus

About Blog Ya Vijana

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. Mambo ya Sporah Show hayo, namkubali sana Sporah. WASHINDWE TU WAO SASA.

    ReplyDelete

ad