Ndani ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata utandawazi, vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala na ipo karibu na uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden
Hii ni sehemu iliyokuwa ya rubani wa ndege hiyo unaweza kulala hapa kuanzia £170 kwa usiku mmoja
Nyumba hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu na uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden
Mmiliki wa ndege hiyo Oscar Divs alinunuwa ndege hiyi iliyoundwa 1976 Boeing 747-200 na kuibadilisha kuwa nyumba ya wageni
Moja ya chumba katika ndege hiyo
Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi
Sehemu ya kupumzikia
0 comments :
Post a Comment