Salim El-maamir · Follow · Top Commenter · Works at Tanfeedh
steven
kwa point hiyo uliyoitoa ya kutazama nani anajitoa na nani hajitoi
katika misiba ya wenziwe moja kwa moja inaonyesha kuwa uo uongozi
umepewa tu lakini hustahiki kwa sababu ukiwa kama ni kiongozi nilazima
uzingatie sheria na haki huwezi ku inforce sheria ukasahau haki ya
mhusika iwe kweli wema hahudhurii misiba ya wenziwe lakini nyinyi hamna
utakatifu wa kumtoa mtu kwenye giza na kumweka kwenye nuru bali mna
wajibika kutoa influence ili muhisika ajielewe kwa ustaarabu mutakao
muonyesha na naamini kwa vile ni mtu mstaarabu angeweza kukiri makosa
yake na angeweza kuomba radhi lakini mulicho kifanya ikiwa RAY au WEWE
unahusika sio kitu cha kiungwana hata kidogo kuweni na upeo wa kifikira
ua hikma mnapofanya maamuzi mazito kama hayo mimi mungesusia harusi au
sherehe nyengine ata isngekuwa issue sana lakini msiba ni jambo la
kipekee na linahitaji kufikiriwa kiubinaadamu mungu awaongoze na
awaondoshee chuki baina yenu huo sio mwendo mzuri.
0 comments :
Post a Comment