- Kenneth Julius · Dar es Salaam, TanzaniaRay ni nani awakataze watu wasiemde msibani? Na hao ambao hawakwenda walikuwa na jambo lao...kwani angewambia waende alafu wakagoma ingekuwaje? Cha msingi kwenda kwao au kutokwenda haimzuii marehemu kuzikwa!
- Aberdinego Kingoh · M.P.A and millitary skills collagenani nimtume kuzimu amfikishie kanumba salamu baada ya yy kufa na bongo movie nayo imekufa haiuzi kabisa" asante ney wa mitego" ulisema broza.r.i.p brother kanumba.
- Fadhyl Seyer Nyagawa · Chief Executive Officer at LogisticsHAO BONGOMOVIES WALIANZA KWA KUMUHARIBIA SAJUKI TAMASHA LAKE LA ARUSHA AMBALO ALIKUA ANATAFUTA HELA ZA KUJITIBIA, FROM THERE ALIANZA KUZIDIWA ZAIDI HADI MAUTI YALIPOMKUTA, JUZIKATI TENA WAMEMUACHIA WEMA MSIBA WA MZAZI WAKE WAKATI HATA VITABU VYA DINI VINAAMRISHA BINADAM KUZIKANA BILA KUJALI...NACHOWEZA KUSEMA BONGOMOVIES IMEJAA MASHETANI SIO WATU...RAY NDO USISEME NDO MAANA KILA SIKU UNAFUMANIWA NA MADEM...HUNA HATA AKILI, I SWEAR KAMA ANGEKUEPO THE GREAT ASINGEFANYA HIVYO MAANA ALIKUA ANAMJUA MUNGU KULIKO WW RAY
- Eunice Alison · Follow · Works at Dauson · 367 subscriberswalijua hakuna kamati za kukusanya michango ndio maana wakaona haina haja!mbona kwa kanumba walienda?
- Grace Mwangomo · Lusaka high schoolsasa na wewe ray mbona eti ulikuwa kuangalia mpira wakati wenzio wanaaga mwili wa marehemu? kwa hyo hukujali hata mcba ukaona bora mpira kuliko kumfariji mwenzenu. muwe na umoja sio kubaguana.
- Aloyce Ngoso · Ali Hassan Mwinyiwalidai "BORA ANGEKUFA RAY KURIKO THE GREAT'" leonimeamin kweli..... na ndo maana kazi zake zimefifia baada tu ya ze great kuondoka..... I WILL MISS U THE GREAT KANUMBA
- Mohamedi Rajabu · Follow · J.manager at Mken companyRay yeye ni kiongozi kwann anafanya mambo ya ajabu alafu anasema et mambo yake yana mnyokea hajui ipo siku naye yatamkuta hayo c maisha
- Ahmyd Yahya · Follow · Works at Self employedNI BORA KUSIWE NA KANUNI YA KUZIKANA KWA WASANIII WA BONGO MOVIES? ATAKAE ENDA MSIBANI HUYO NI MNAFIKI TENA HAFAIIIIIIIII
- Sapna Wa Lee · Kingston Universitybongo stars wako na akili changa vijipesa vidogo vidogo vyawazengua mbona msifuate system ya wasanii wa kenya kua mature
- Niite Mugabe Wa Shish · Follow · Works at Self Employed (Business)kwani ray halikua na mguu yao warongo wakubwa
- Kyaka Musila · Follow · International UnversityUna nyota gn ya kubeba mizigo ya watu ww. Unafk umewajaa nyie Bongo movie.mnajikanyaga nn ss, kwan kuna mtu alitaka kujua yote hayo. Wajinga nyie na mtashindwa na hizo chuki zenu. Mlivyoitwa kula mlikimbilia leo ndio mnajua wema hana ushilikiano na wengine. Shwine nyie.
- Neema John · Follow · The Green International Collegewalichokifanya sio kizuri wangesubir msiba uishe wakae nae chini wamweleze huyo wema sepetu
na hao walokuwa location hv kwa akili ya kawaida huwezi kufanya shooting wakati mwenzio kafiwa labda movie hiyo ndo itawazika ila wakumbuke wote tunapita hamna mwenye mishale ya kulindia dunia tuseme atakaa milele - Daresa Dany · Follow · Manager at Daresa entertainmentMitizamo finyu ya wanadam huwezi kubali sikiliza m2 kwa shinikizo la kutohudhulia msibani pengine ni kweli wema huwa haendi panapo tokea misiba kwa wasanii wenzake ndo maana wameamua kumkaushia na yeye aone ka ni raha.Ray asilaumiwe hana kosa lolote.
- John Costantino · Dar Es Salam, Dar Es Salaam, TanzaniaHiiiyote kwanza nikutokana namakundi na inategemea wengi wameumbwaje ila kwa ray sizani kama atakuwa amefanyaivyo*safi sana kaka ray mwanaumekujiamini*
- Amberlinna Wa G · Follow · Dancer at Queen Videohao waliosema ray amewakataza ni wanafki m2 mwenye akili timamu huwez kumsikiliza m2 kwa ushaur wa kipumbavu inamaan ray akiwaambia wale kinyesi watakula
- Abdorne Photidas · Arusha_Day_Secondary_Schoolok kama amesema au hajasema mi naona tumsamehe tu mambo yaishe,Mungu atasaidia tu
- Saad Shaib Gadaffi · Follow · Madenge primary schoolMi nadhani waliokwenda ndo walivunja makubaliano.....inaonekana
huko nyuma walishakaa kikao na kumjadili wema na wakatoka na suluhisho moja kuwa hawatahudhuria baya lolote litakalomfika....sasa yeye kama kiongozi nadhani alitimiza majukumu kuwakumbusha wemzie..na hapo ndo gunia la misumari limemuangukia....by the way bongo muvi yote wanafki tu - John KapotaHongera sana brother Ray kwa kutoa msimamo wako walio wengi wanakuonea wivu tu. Na wengine wachonganishi angalia Comment nyingine wanaandika ujinga tu eti kazi yako kujichubua inawahusu nini kama sio upuuzi na chuki binafsi? Achana nao hao hawana jipya angalia mambo yako na kumwomba Mungu akusaidie kwani ndo aliyekufikisha hapo ulipo wabongo tumezidi kushobokea yasiyotuhusu. Wasikukatishe tamaa wapuuzi hao. Puumbaaavuuuh
- Adam Mogha · UDSM-MUCEkuna uhakika kwamba ray alituma hizo sms?wadau msilaumu kitu unachosikia kwa mara ya kwanza,fanyia uchunguzi kama huwezi lipe muda ukweli utafahamika,siyo kuanza kumsema mtu bila uhakika .fikiri kwanza .,........................
......:-), - Zephania Yohana · Engineering Management at Self Employed (Business)Utaratibu upo wazi kuhusu kuzikana,kama huendi kwa wenzio wakifiwa hakuna haja ya wao kuja kwako.Mimi naunga mkono kabisa ili liwe fundisho kwa wasiohudhuria
- Hidaya Soly · Works at Bukombe District Councilhao ni wanafki 2.hawana lolote wamekalia majungu.ata kam kwel ray amesema wao hawana akili wakajiongeza?
- Rosemary Leonard · Follow · Works at Self Employed (Business)hawana lolote hao wanafki tu, wakiambiwa wanye hadharan watakubali?
- Mjuni Kamala · Follow · GM at KAMALA'S COMPANIES LIMITEDNO VIKAO VYA KAMATI YA MICHANGO YA RAMBIRAMBI NO KUJA.....kwa Msiba
- Kulthum Kassim A · Top CommenterMtazamo wangu wajinga hao wasanii msiba haukatazwi kwenda hata siku lakini tu sherehe za harusi party ndio lazima ualikwe ndio tunavyojifunza ndani ya jamii kwwenye matatizo hutakiwi kuombwa wala kukatazwa akili yako kichwani .....labda wanalao jambo ndani ya jumuiya yao na sio suala la msiba hapo wanafikrii watatudang'anya sisi m werevu wananchi dhidi yao
.

.
shop now
Home
/
Uncategories
/
HIZI NDO COMMENT 37 ZA WADAU BAADA YA RAY KUFUNGUKA KUHUSU KUPEWA LAWAMA ZA MSIBA WA BABA YAKE WEMA SEPETU
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment