Mabao
matatu yaliyopigwa na Cristiano Ronaldo yameivusha Ureno kucheza Kombe
la Dunia mwakani. Ushindi huo wa mabao 3-2 dhidi ya wenyeji Sweden ambao
nao mabao yao mawili yalifungwa na nahodha, Zlatan Ibrahimovic. Katika
mechi ya kwanza, Sweden ikiwa ugenini ilikutana na kipigo cha bao
1-0. Ureno ilianza kupata bao kupitia Ronaldo, wenyeji Sweden
wakasawazisha na kufunga mabao mawili kupitia Ibrahimovic. Lakini
Ronaldo alipiga mabao mawili harakaharaka na kumaliza kabisa matumaini
ya wenyeji.
.
.
shop now
Home
/
Uncategories
/
RONALDO APIGA HATRICK,IBRAHIMOVICH APIGA MBILI LAKINI URENO YAFUZU KOMBE LA DUNIA
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment