Mkuu wa
mkoa wa Morogoro Mh Dk Joel Bendera akiwa na miss tanzania 2013
Happiness watimanywa wakiwa meza kuu wakati wa ufunguzi wa mashindano
ya mbio za magari mkoani morogoro
Miss
tanzania 2013 Hapiness watimanywa Akiwa amesimama kwa heshima kwa dakika
moja ikiwa ni heshima kwa kifo cha rais wa zamani wa afrika ya kusini
Rais Nelson Mandela aliyefariki juzi.
Miss tanzania akitoa hotuba fupi kuhusu Usalama barabarani wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo..
Magari yalioshiriki katika mashindano hayo ambapo ni ya kilomita 200 ambapo mshindi anatarajiwa kutangazwa mchana wa leo katika viwanja vya gymkana mkoani morogoro.
0 comments :
Post a Comment