.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BREAKING NEW'S: AJALI MBAYA YA KUTISHA...!SAMAHANI SANA KWA PICHA HIZI... MTU MMOJA AGONGWA NA FUSO NA KUSAGIKA MIGUU NJIA PANDA KIA MKOANI KILIMANJARO


 MZEE huyu wa jamii ya kabila la wamasai aliyetambulika kwa jina la ''Tulito'' Mkaazi wa KIAnjia panda ya kuelekea uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot, Leo mda mfupi uliopita amepata ajali mbaya ya kugongwa na fuso alipofanya jaribio la kuvuka barabara hio ya lami ambayo magari huenda mwendo kasi, Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka mkoni kilimanjaro 



kimedai kwamba gari hilo aina ya FUSO halikusimama baada ya kumgonja mzee Tulito lilitokomea..! Raia waliokuwa karibu na eneo la tukio hawakufanikiwa kunasa walau hata namba za gari hilo, Mzee tulito aliwahishwa Hospitali wilayani boma kwa matibabu zaidi.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad