.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

.!! HILI NI BALAA JINGINE LA LADY JAY DEE ANACONDA..!!


 

Ule usemi wa ukubwa dawa,umezaa matunda kwa mwanamuziki wa bongo fleva nchini, Lady jaydee aka Anaconda, baada ya kuwa ndiye mwanamuziki pekee nchini Tanzania anayeongoza kuwa na mashabiki wengi kwenye mtandao wa kijamii wa FACEBOOk. 


Lady jaydee amefikisha FANS 150,956 hadi sasa akifuatiwa na Mtangazaji wa clouds fm mwenye kipaji cha kipekee na sauti yenye mvuto, Millard ayo ambaye yeye amejizolea ma Fans 150,653 huku namba tatu ikiwa imeshikilwa na mkali mwenyewe aka mfalme wa bongo fleva naseeb abdul au Diamond ambaye amejizoelewa ma Fans 138,471 hadi sasa kwenye mtandao huo wa kijamii wa FACEBOOK, hii inazidi kuonyesha ni jinsi gani lady jaydee anavyokubalika na kuungwa mkono na jamii katika kazi yake ya muziki,, BiG up kwaTEAM ANAKONDA
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad