Rais wa Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ametangaza kesho ni siku ya mapumziko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dr. Shein alitangaza baada ya kunong'onezana na Rais Jakaya Kikwete na wote kukubaliana itakuwa ni sikuu ya Mapinduzi nchi nzima. Hayo yalitokea katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar

0 comments :
Post a Comment