.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HAWA NDIO VIONGOZI WAPYA WA BONGO MOVIE UNITY

Bongo Movie wapata viongozi wapya.  Steve Nyerere achaguliwa kuwa mwenyekiti
Kundi la Bongo movie unity limepata  uongozi mpya wa club hapa nchini hapo jana baada ya kufanyika kwa uchaguzi wake kwenye viwanja vya leaders kinondoni jijini Dar es Salaam.

Katika uchaguzi huo viongozi wapya walichaguliwa ni;

Mwenyekiti.  Steven Nyerere.

Makamu mwenyekiti : Mahsein awadhi "Dr cheni"

Katibu mkuu:  William Mtitu

Katibu mkuu msaidizi : Devotha mbaga 

Mtunza hazina: Issa musa “cloud"

 Msaidizi wake ni:  Cathy rupia
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad