Kupitia kurasa yake ya Facebook Jay amepost picha akiwa katika studio za Bongo Records inayomilikiwa na Producer mkongwe nchini Tanzania P. Funk Majani wakiwa pamoja na Diamond Platinum.
Amepost picha hiyo pamoja na maneno haya "Ndani ya Bongo Records with the Super dupa producer P - funk Majani and @diamondplatnumz himself Muda Huu # COOKING for all yall'.... kaeni mkao wa kula watu wangu!!!"
Hivyo kuna kila dalili ya kuwepo collabo ya wawili hao ambayo inapikwa na P. Funk, vuta picha itakuwaje Msanii mkongwe + Producer Mkongwe + Msanii anaevuma zaidi kwa sasa = Jibu unalo
0 comments :
Post a Comment