Lulu na Mama Kanumba |
MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Frola Mtegoa ameibuka na kueleza kuwa,
Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni mkwe sahihi kwake kwa namna alivyo na
heshima na anavyomjali kama mama yake.
Akizungumza wikiendi iliyopita nyumbani kwake, Kimara - Temboni, Dar,
mama huyo alisema, kama mwanaye angekuwa hai angekuwa amepata mke bora
wa maisha yake, naye pia alikuwa na mkwe sahihi.
“Najua mtoto wangu ametangulia mbele za haki lakini faraja anayonipa
Lulu ni kubwa mno na najisikia furaha. Kama Mungu angemwacha Kanumba hai
mpaka leo kwa kweli Lulu angekuwa mkwe bora sana kwangu.
0 comments :
Post a Comment