Rais wa Uganda, Yoweri |Mseven, amkataa kusaini muswada wa kupinga ushoga nchini Uganda.
Akiandika kupinga kwa sasa kutia sahii rais Museven amesema " kweli ushoga si kitu cha kawaida na wanatakiwa kuokolewa na siyo kuhukumiwa."
Kitendo cha rais Museven kupinga kutia sahii muswada huo, kimetafsiliwa kuwa, ni kugopa msukomo wa kimataifa, ambapo ingepelekea kuleta mvutano kati ya serikali yake na mashirika ya kimataifa yanayo unga mkono ushoga ambapo mashirika hayo yanaushawishi mkubwa kimataia na kuweza kusababisha myumbo wa serikali ya Uganga kimataifa.
0 comments :
Post a Comment