When the president wa wasafi classic meet his first lady wema sepetu
kila kitu seems to go as planned and fans expectations huwa zipo
high.Diamond seem to be well atleast when he is with Wema,and fans wa
hawa celebrity hapa bongo huwa siku zoke hukaa mkao wa kula kusikilizia
suprises zozote watakazotoka nazo ,wakati haukupita sana toka
wamerudiana na kuweza ku-post on I.G(instagram) some private moment
wakiwa pamoja,fans wengi hupenda hii couple.
This is known to be most popular celeb couple of all time ambayo
imeweza kutokea na ikitokea kuwa mambo yameenda kushoto kidogo,the news
do tend to travel fast na huwa inatokea mlipuko wa habari kuhusu wawili
hao when they do fall apart kitu ambacho ni sawa na pale wanapoamua
kurudiana,huwa ni news ya wiki nzima hapa Bongo na kushangaza zaidi ni
east africa nzima huwa inaongelea hii couple,hii inaongeza popularity
kwao as celebs na hivyo hata mtu mgeni aliyeingia hapa TZ huwa yuko
curious kuulizia about the life of this two Celebz and we all know that
popularity means business these days.
Jina la Diamond Platnums mbali ya kuwa popular in music
industry,limekuwa jina ambalo vijana wengi hapa nchini wamekuwa na mtu
wakumuangalia na kila mtu kutaka kuwa kama yeye,the way anavyo
dress,anavyo nyoa na hata pozz tu sawa na wema sepetu kila mtu amekuwa
anamu-admire kwa jinsi tu alivyo especialy young ladies,unaweza kusema
wawili hawa ndio moja ya most influencial couples wa hapa bongo,its like
brad pit na Jolie wa hapa Bongo.
They say Celeb couple huwa hawawezi kukaa katika relation muda
mrefu,this is one of the reason Diamond and Wema ya ku-date ili waweze
kuwa-prove wrong watu wengi wanaoamini huo msemo,mbali ya kuachana na
nakurudiana mara kwa mara wawili hawa wamekuwa na drama zakutosha,as
celebz they always do ila kwa hawa inaoneana kama bado mapenzi yao yapo
pale pale no matter how many times they broke up,the record says they
are back together and its official now.
0 comments :
Post a Comment