Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde akisoma matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2013 Dar es Salaam.
Majira ya saa nane mchana siku ya leo, hatimaye matokeo ya kidato cha nne 2013 yametangazwa baada ya kusubiriwa kwa hamu na wadau kwa muda mrefu sana.
Hizi ndio shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013:
1. St.Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Boys (Pwani)
3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
4. Precious Blood (Arusha)
5. Canossa (Dar-es-salaam)
6. Marian Girls (Pwani)
7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
8. Abbey (Mtwara)
9. Rosmini (Tanga)
10. DonBosco Seminary (Iringa)
Hawa ndio wanafunzi 10 bora matokeo kidato cha nne 2013:
1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani)
2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya)
3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam)
4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani)
5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani)
6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam))
7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera)
8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera)
9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani)
10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya)
KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013:
BONYEZA HAPA
0 comments :
Post a Comment