.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HII NDIO THAMANI YA DIAMOND PLATNUMZ

Wote tunajua kwamba diamond platnumz kwasasa anafanya kazi na coca-cola kama brand ambassador na Vodacom Tanzania pia. lakini chini ya kapeti hauwezi kuamini deals diamond anazozipata kila kukicha na kuzipiga chini. Diamond alifunguka hivi kuhusiana na hilo;-

“Before mimi, wapo wasanii kibao walikua wakitumiwa na makampuni ya kibiashara,lakini maslahi ya kiuchumi hayakua makubwa kutokana na wasanii wenyewe kutojipa thamani. Ukiniona mie nimekubali kufanya kazi na makampuni ya kibiashara ujue lazima akaunti yangu imekaa vizuri sana. Naijua thamani yangu vizuri,i’ve worked hard kufika hapa nilipo and no one should take me for granted. Nashukuru mungu ubishi wangu umenisaidia nalipwa vizuri kama wasanii wengine barani afrika wanavyolipwa,though nimekua vilevile na lose sana,mfano hivi karibuni kuna kampuni moja ya simu ilinipa deal ya $200,000 but i turned it down coz walishidwa kufikia dau langu,also there was a deal na kampuni moja ya unga walitaka kunipa ubalozi , i told them to pay me $120,000 wakasuasua mpaka ilipotoka my number 1 wakarudi tena nikawaambia thamani yangu imepanda waongeze mtonyo na wakishidwa wafanye kazi na msanii mwingine kwa bajeti hiyo,haikua kwa ubaya it was a pure business. Ukweli ninastahili kulipwa fedha ninazowaambia kwasababu huwa nazifanya vizuri kazi zangu zote kibalozi na ndio maana coca cola wananitreat vizuri”.
Diamond-Cocacola-South-Africa


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad