Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mtangazaji wa CNN, Christiane
Amanpour muda mfupi baada ya kipindi cha mahojiano CNN London jana
jioni. Katika mahojiano hayo yaliyohusu biashara haramu ya wanyama pori,
Rais alieleza biashara hiyo kuwa ni "kichaa na ni jambo kubwa sana"
linalohitaji jitihada za pamoja kupambana na biashara hiyo. Rais
Kikwete alikuwa London, Uingereza kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa
kupambana na biashara haramu ya wanyama pori.
(Picha zote kwa hisani ya Ikulu)
(Picha zote kwa hisani ya Ikulu)
0 comments :
Post a Comment