STAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amezuiwa kutoka nje kutokana na
sheria na taratibu zilizopo ndani ya familia yao nyumbani kwao
Zanzibar.
Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Nisha baada ya kufika nyumbani
kwao visiwani Zanzibar, amekuwa hatoki nje kwani nduguze wamemwambia
sheria hairuhusu kutokatoka nje bila sababu za msingi.
Nisha alipoulizwa kuhusiana na taarifa hizo, alitiririka:
Nisha alipoulizwa kuhusiana na taarifa hizo, alitiririka:
“Kweli kwetu ni geti kali hakuna kutoka nikishafika huku ni fulu kukaa
ndani na kuvaa hijabu mambo ya Dar nayaacha hukohuko hivyo hata sijui
kinacho-endelea Dar labda mtu anipigie simu ndiyo napata taarifa,”
alisema.
0 comments :
Post a Comment