.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

APATA AJALI MBAYA BAADA YA KUSHINDANA NA MWANAE....

 The incident happened at the popular Les Deux Alpes ski resort in south-east France
Hii imetokea huko Ufarasa baada ya John Dowling (58) na mwanae Rob (23) kuanza kushindana kuserereka kwenye barafu, mchezo ambao upendwa sana nchini Ufaransa, Baba huyo na mwanae walitumia kiwanja cha barafu ambacho kilikua kinaandaliwa kwa ajili ya mashindano siku inayofata, huku ikiwa imewekwa mageti special ili watu wasipite kwa kuwa uwanja ulikiua kwenye maandalizi.
Rob Dowling took this video of the moment his father emerged from a horrifying ski crash in France covered in blood
Hapo ndipo alipo anguka na kujigonga kwenye Geti hilo la Chuma


He was moved away from the metal gate he crashed into and lay on the floor waiting to be airlifted to hospital

 Mr Dowling had to be airlifted to hospital where he was treated for three days before being released
Mtoto huyo aliweza kumpita baba yake, huku baba huyo akijaribu kuongeza mwendo ili amfikie mwanae kwa bahati mbaya akatereza vibaya na kuanguka na kujigonga kwenye geti na kumfanya damu nyingi kuanza kumtoka kichani kwake.

Rob's father John was left wailing and covered in blood as emergency staff arrived to help
Akiwa anaangaliwa huku wakiwa wanasubiri usafiri kuja kumchukua kumpeleka hospitalini


"Baada ya baba kuanguka nilijua kaumia na alianza kupiga makelele sana, nikajua ameumia vibaya ikanibidi nimsaidie kumtoa, alivyopelekwa Hospitali nilibaki nafikiria nikikumbuka kilichomtokea Michael Schumacher, sikujua kama atakufa au atapona, ila nikashangaa baada ya siku tatu amepona na kurudi kwenye kutereza tena kwa spidi." alisema mwanae Rob

The father-of-two was then airlifted to hospital where he spent three days
Baba huyo akiwa anapelekwa Hospitali ambapo alitibiwa kwa siku tatu na kuruhusiwa kutoka


ANGALIA VIDEO HIO HAPA...


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad