Huyu ni mbwa anaetunza na shirika la kutunza wanyama wasiojiweza, mbwa huyu ambae hana miguu ya juu hakuwa nyuma kujishuhulisha ni baada ya kuwenda ufukweni na kuanza kutimua mbio sana kwa kutumia miguu yake ya mbele tu,
katika ufukwe wa washington.
Mbwa huyo anaejulikana kwa jina la Duncan amepewa kiti maalum cha kutumia ila hapendi kutumia kiti hicho, alisema msimamizi wa Mbwa huyo, huku akizidi kueleza kuwa wanapenda kumuachia mbwa huyo awe huru kutumia miguu yake miwili.
AKIWA NA MUANGALIZI WAKE |
ANGALIA VIDEO YA MBWA HUYO AKIWA ANAKIMBIA PEMBEZONI MWA UFUKWE WA BAHARI
0 comments :
Post a Comment